IQNA – Baraza la Kisayansi la Qur’ani Tukufu chini ya Idara ya Usimamizi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) liliandaa kikao maalumu cha Qur’ani mjini Najaf kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Zaman (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake kwa heri).
Habari ID: 3481896 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/07
Mwokozi katika Qur’ani Tukufu / 1
IQNA – Aya ya 55 ya Surat An-Nur inaeleza juu ya jamii tukufu ambayo bado haijawahi kutimia kikamilifu katika ulimwengu huu, wala haiwezi kutekelezwa juu ya jamii yoyote ile isipokuwa ile itakayoundwa kwa baraka ya kudhihiri kwa Imamu Mahdi (AS).
Habari ID: 3481892 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/05
IQNA – Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametangazwa rasmi kuwa “Mahdi Yavar" yaani Msaidizi wa Imam Mahdi' wa Mwaka.
Habari ID: 3481891 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/04
IQNA-Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama, Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake). Siku hii ni maarufu pia kama Nisf Shaaban.
Habari ID: 3481887 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/03
IQNA – Zaidi ya wafanyaziara milioni tano kutoka Iraq na nchi nyingine walitembelea mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya Idi ya Shaaban Ijumaa, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480223 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15
IQNA – Binadamu wote wanatarajia kuonekana kwa Mwokozi mwishoni mwa nyakati, lakini kuna watu ambao maslahi yao yanapingana na tukio hili, hivyo wanajitahidi kwa bidii na kwa siri kudhoofisha na kuondoa imani ya kuonekana kwa Mwokozi.
Habari ID: 3480222 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15
IQNA – Mkusanyiko wa wafuasi na maashiki wa Imam Mahdi (AS) unaendelea katika Msikiti wa Jamkaran, Qom, Iran, usiku wa Iddi ya Katikati ya Shaaban maarufu kama Nisf Shaaban.
Habari ID: 3480212 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
Mwokozi
IQNA – Itikadi ya Umahdi ni ufunguo wa kuelewa Uislamu na utamaduni wake, amesema mtafiti wa Kijapani.
Habari ID: 3479266 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12
Mwokozi
IQNA - Mwanachuoni wa Lebanon amesema kutekeleza mafundisho na Sira ya Mtukufu Mtume (SAW) na Etrat (Ahul Bayt wa Mtume SAW) ni muhimu kwa ajili ya kujitayarisha kwa ajili ya kudhihiri Mwokozi anayesubiriwa.
Habari ID: 3478411 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25
Mwokozi
IQNA - Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamekamilika mapema wiki hii, siku chache kabla ya Nisf-Shaaban, ambayo inaadhimisha kuzaliwa kwa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake).
Habari ID: 3478410 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25
IQNA – Qur’ani Tukufu inarejea kwenye bishara zilizotajwa katika baadhi ya vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyotangulia na inasisitiza kwamba watu wema ndio watakaotawala juu ya ardhi yote.
Habari ID: 3478409 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24
IQNA – Imepokewa kutoka katika Aya ya 7 ya Surah Ar-Raad kwamba siku zote kuna uongozi wa kiongozi aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu katika jamii za wanadamu na hivyo ardhi haijawahi kukosa mtu ambaye ni Hujjat (ushahidi au hoja ya Mwenyezi Mungu).
Habari ID: 3478404 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
IQNA - Kama vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyotangulia, Qur'ani Tukufu inatoa habari na bishara njema ya kuundwa kwa serikali ya ulimwengu yenye umoja duniani ambayo itaongozwa na watu wema na waliokuwa wamedhulumiwa na kukandamizwa.
Habari ID: 3478397 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22
Ahul Bayt AS
IQNA – Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wameanza kusherehekea Idi ya Nisf-Shaaban, kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhiri kwake).
Habari ID: 3478382 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/20
Mawaidha
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal miaka 1185 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria Qamaria, baada ya kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (AS) kilianza rasmi kipindi cha uongozi wa Imam wa Zama, Imam Mahdi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-AF-).
Habari ID: 3477648 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/24
Ahul Bayt wa Mtume (SAW)
Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama, Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake).
Habari ID: 3476675 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Katika wakati huu wa kukarbia siku ya 15 ya mwezi wa Hijri wa Sha'aban, Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) mjini Berlin, Ujerumani, kimeandaa msururu wa mashindano ya watoto, vijana na vijana.
Habari ID: 3476639 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
QOM (IQNA) –Msikiti wa Jamkaran ulio katika mji wa Qom nchini Iran umesafishwa ili kuutayarisha kwa ajili ya sherehe za siku ya katikati ya Sha’aban ambayo pia ni maarufu kama Nisf Sha'ban
Habari ID: 3476636 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Spika wa Bunge la Iran katika Kongamano la Kimataifa la Wanaharakati wa Umahdi
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Bunge la Iran amesema chimbuko la Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni fikra za Imam Mahdi, Mwenyezi Mungu Aharikishe Kudhihiri Kwake, na Ashura.
Habari ID: 3475346 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07
TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama, Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake).
Habari ID: 3475051 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/18